SSPRA

JOIN SSPRA TO ACQUIRE PUBLIC RELATIONS SKILLS

Saturday, May 25, 2013

USAFIRI WA KWENDA ROYAL SUNSET BEACH UTAKUWA KAMA IFUATAVYO:

Usafiri siku ya kesho: wana kamati ya graduation wataondoka kesho saa 5:00 pale ATM. watakaopenda kwenda na kurudi usafiri upo na pia kama utapenda kubaki kule moja kwa moja pia kipo chumba kwa ajili yenu, hii ni kwa wanakamati tu.
     WAHITIMU NA WASIO WAHITIMU
  Wahitimu na wasio wahitimu wataondoka na gari la kwanza  litaondoka saa moja kamili za jioni(7.00) na la pili  litaondoka saa moja na robo jioni(7.15).
 NB. wengi watatamani kwenda na gari la pili kwa hiyo kuna uwezekano wa gari la pili kujaa na wengine kubaki hivyo unashauriwa kwenda na gari la kwanza ili kuepuka usumbufu utakao jitokeza baadaye

       KUHUSU SUALA LA MAVAZI 
Wanachama wote wa SSPRA wanaombwa kuheshimu taratibu zote ambazo zimewekwa na zimeazimiwa na chama ili kulinda heshima na taswira ya chama kwa ujumla kwa kuvaa mavazi ambayo yanastahili kuvaliwa mbele ya viongozi va ngzai za juu'
      mavazi yafuatavyo hayastahili kuvaliwa ndani ya ukumbi mbele ya mgeni rasmi

1.Pensi kwa wavulana
2.sketi fupi kwa wasichana
3.suruali kwa wasichana Kwa yeyote atakaye kiuka taratibu hizi hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
  TUNAWATAKIA SHEREHE NJEMA YA KUWAAGA WANACHAMA WENZETU WA MWAKA WA TATU.

No comments:

Post a Comment