SSPRA

JOIN SSPRA TO ACQUIRE PUBLIC RELATIONS SKILLS

Monday, May 20, 2013

KESHO NI SIKU YA MWISHO YA KUWASILISHA MICHANGO YOTE YA UWANACHAMA NA MAHAFALI YA KUWAAGA MWAKA WA TATU.

Mwenyekiti wa sspra akishirikiana  na kamati ya mahafali ya kuwaaga mwaka wa tatu inawapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kesho ni siku ya mwisho kwa wanachama kuwaslilisha michango yao yote ya mahafali.

  Pia wanachama wote wanakubushwa uwasilisha michangoyao  yote ya kila mwezi (monthly contributions) kwa viongozi wa sspra.

IFUATAO NI MICHANGANUO YA MICHANGO AMBAYO KESHO WANACHAMA WANATAKIWA KUWASILISHA.
1.Wahitimu 25000/=
2.Mwaka wa kwanza na wa pili 20000/=
3.Mwaka wa tatu ambao wanataka vyeti tu ni 10000/=
  Michango yote ilipwe kwa kiongozi yeyote wa sspra na mwisho wa kuwasilisha michango ya uwanachama na mahafali ni kesho saa 12.00 za mchana.

No comments:

Post a Comment