SSPRA

JOIN SSPRA TO ACQUIRE PUBLIC RELATIONS SKILLS

Saturday, June 1, 2013

WANACHAMA WA SSPRA WAKISHIRIKIANA NA UONGOZI WA SAUT WAFANYA KAMPENI YA USAFI WA JIJI LA MWANZA LEO.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh.Evaristi Nidikiro amezindua kampeni ya kusafisha jiji la Mwanza leo.Uzinduzi huo unaenda sambamba na kuazimisha siku ya mazingira ambayo ufanyika duniani kote ifikapo 5/6/ kila mwaka.

   Aikizungumza katika kampeni ya usafi Mh mkuu wa mko wa Mwanza amewataka Wakazi wote wa Jiji la Mwanza kuzidi kushirikiana katika kuliweka jiji kuwa safi na kuendelea kuongoza kuwa jiji safi hapa nchini kwetu.

       "PAMOJA TULIWEKE JIJI LETU SAFI" SMART MWANZA,TOGETHER WE CAN KEEP THE ROCK CLEAN" Hii ni kauli ambayo mkuu wa mkoa wa Mwanza aliitoa wakati wa siku ya uzinduzi wa 
kusafisha jiji la mwanza na kuwataka wakazi wa jiji la Mwanza kushirikiana wao kwa wao na viongozi katika usafi wa jiji.

Kampeni hivyo ya usafi ilikuwa inadhaminiwa na Mwanza City Council,Pepsi,Crdb Bank,Nyanza Biscuits,City fm 90.2Mhz,Radio Saut fm,Serengeti Breweries na Aqua Rock.

Pia katika zoezi hilo la usafi wanachama wa Sspra na Wanafunzi wengine wakishrikiana na serikali ya wanafunzi ya Sautso kutoka katika chuo kikuu cha mtakatifu Augustino nao walishiriki kikamilifu katika kuliweka jiji la Mwanza safi. 




Mkuu wa mkoa wa mwanza bw...evaristi ndikiro akiwa na baadhi ya viongozi wakati wa kuzindua kampeni ya usafi leo katika jiji la mwanza.

Wa pili kutoka kushoto ni meya wa jiji la mwanza akiwa na mkuu wa mkoa evaristi katika kampeni ya usafi.
Mkuu wa mkoa wa mwanza mh.evaristi ndikiro akifanya usafi wa jiji la mwanza leo.
Wa pili kutoka kushoto ni meya wa jiji la mwanza na kulia kwake ni mkuu wa mkoa wa mwanza mh.ndikiro akifany usafi
Mkuu wa mkoa wa mwanza akipewa  mfagio
Mkuu wa mwanza akishika mfangio kama ishara ya kushirikiana na wakazi wa jiji la mwanza katika suala nzima la usafi.
Baadhi ya wanachama wa sspra wakifany usafi leo.

hawa ni baadhi wa wakazi wa jiji la mwanza wakiwa katika zoezi la usafi ililofunguliwa leo na mkuu wa mkoa wa mwanza bw..ndikiro 
    Baadhi ya wanachama wa sspra wakifanya usafi.


mzungu akiwa na shauku kubwa ya kufanya usafi.
Kutoka kushoto ni rasi wa chuo cha mtakatifu augustino bw dova akifanya usafi pamoja na wakazi wa jiji la mwanza.
 Wakazi wa jiji la mwanza wakifany usafi

 Wakazi wa jiji la mwanza wakifanya zoezi la usafi leo
Mwenyekiti wa media and publications Mussa mbilinyi akishiriki leo katika suala nzima la usafi wa jiji.

Vedasto Eliviani akiwa na wakazi wajiji la mwanza katika zoezi la usafi wa jiji.
Wanachama wa sspra wakifanya usafi


.

No comments:

Post a Comment