SSPRA

JOIN SSPRA TO ACQUIRE PUBLIC RELATIONS SKILLS

Friday, June 7, 2013

TANGAZO LA KIKAO CHA SSPRA KESHO/8/6/2013

Tunapenda kuwatangazia wanachama wote wa sspra kuwa kesho kutakuwa na kikao,kitakachofanyika saa 10.00 Asubuhi mpaka saa 12.00 za mchana.
Kikao hicho kitafanyika katika jengo la mwanjonde(B3).
   AGENDA KUU:
1.Way foward ya semester ijayo.
2.Kugawa vyeti kwa walioshiriki kuandaa Mahafali ya Chuo na Community Day.
3.Mwaka wa tatu ambao hawajachukua vyeti
4.Kutambulisha rasmi kamati za chama na viongozi wake.

     UNAOMBWA KUZINGATIA MUDA KAMA ULIVYOPANGWA

No comments:

Post a Comment