SSPRA

JOIN SSPRA TO ACQUIRE PUBLIC RELATIONS SKILLS

Saturday, March 2, 2013

SEMINA YA MATUMIZI YA INTERNET KWA WANACHAMA WA SSPRA YAFANYIKA

Semina juu ya matumizi ya Internet katika ulimwengu wa Digital imefanyika leo katika chuo cha SAUT katika kuwapatia uwezo wanachama wa SSPRA kuelewa umuhimu na matumizi ya Internet katika maisha yao ya kila siku lakini pia kuwa na uwelewa wa kutosha juu ya matumizi yake sehemu za kazi na kuandaliwa vizuri kabla ya kwenda kufanya kazi ya Afisa Uhusiano wa Umma na Masoko.

Semina hii imeweza kua ya mafanikio zaidi kutokana na maudhurio ya wanachama pamoja na maswali mbalimbali ambayo yameulizwa wakati wa semina.

Nyanja Kelvin Poti (kushoto) pamoja na Zawadi Kipacha (Kulia) wawezeshaji wa Mada
Nyanja K. Poti akifafanua kwa wasikilizaji wa semina
Semina ikiendelea wakati huu ulikuwa ni maswali na majibu





No comments:

Post a Comment