WANACHAMA WOTE WA MWAKA WA TATU MNAOMBWA KUHUDHULIA KATIKA KIKAO KITAKACHOFANYA JUMAMOSI TAREHE 9/03/2013 KUANZIA SAA 4 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA KATIKA JENGO LA MWANJONDE B3...TAFADHALI FIKA BILA KUKOSA NI KIKAO MUHIMU SANA.
AGENDA KUU
1. SWALA LA GRADUATION
2. KUHAKIKI MAJINA YENU KWA AJILI YA KUANDAA VYETI
No comments:
Post a Comment