SSPRA

JOIN SSPRA TO ACQUIRE PUBLIC RELATIONS SKILLS

Friday, June 15, 2012

SHEREHE YA PR CAREER DAY YAFANA SANA.

Sherehe ya siku ya PR katika idara ya mahusiano ya umma,(PR CAREER DAY) iliandaliwa na idara ya Public Relations and Advertising kwa kushirikiana na Association ya (SSPRA).
Sherehe hizi zilianza kwa maandamano kutokea ATM- malimbe kuelekea M-12, ambapo ndio mahali tukio zima lilikuwa nikifanyikia.Mgeni rasmi Mr. Nkwabi Ngwa'nakilala ambaye alikuwa MKurugenzi wa TBC na kwa sasa ni muhadhiri wa chuo cha SAUT, alikata utepe kuashiria kuanza kwa sherehe hizo.

Baada ya hapo wageni wote walipata fursa ya kujua baadhi ya kazi ziizofanywa na idara ya Public Relations and Advertising kama kuandaa publications mbalimbali ikiwemo Newsletters, bronchures, memos, backgrounder, na nyingine nyingi.
Wageni wote walipata fursa ya kusikiliza presentations mbalimbali kutoka kwa baadhi ya wahadhiri wa idara husika pamoja na risala kutoka kwa Mwenyekiti wa SSPRA Mr. Ngonyani Christopher huku wanafunzi na idara husika wakistarehesha sherehe hizo kwa kucheza Ngoma inayojulikana kwa umaarufu kama KIGOMAAAA.

 Bw. Gibson Godwin ambaye ni Mhadhili katika presentation yake aliongelea suala la effective communication huku patron  wa Association Mr. Tibaijuka aliongelea swala la kukubali changamoto katika utendaji wa kazi na kuzitatua taratibu na Mr. Rubango aliongelea swala la critical thinking wakati Madam Mwidima ambaye ni mkuu wa idara ya Public Relations and Advertising alizungumzia juu ya mafanikio ya Association kwa ujumla huku akihamasisha umoja na ushirikiano.
Mgeni rasmi Mr. Nkuabi alizungumzia kwa ujumla umuhimu wa kozi katika mahitaji ya jamii huku akipata fursa ya kuwatunuku vyeti baadhi ya wanafunzi waliojitoa kwa moyo kushiriki katika kazi mbalimbali ambazo ni kuandaa mahafali ya 13 ya chuo na wengine kuwakilisha chuo katika maonyesho ya vyuo vikuu Tanzania yaliyofanyika Diamond jubilee jijini Dar-es-salaam .

Pia sherehe hizi zilipata fursa ya kuhudhuriwa na Afisa mahusiano wa jiji la Mwanza Mr. Joseph mlinzi ambaye aliongelea changamoto zilizopo na kuwezakana na kuwa na umoja na wanafunzi wote wanaosomea mahusiano ya uma na masoko katika vyuo mbalimbali.
Mbali na hayo, patron wa Association  ya SSPRA Mr. Tibaijuka alitunikiwa tuzo kwa kujitoa kwake kwa moyo katika utendaji wa kazi (activists),na pia aliweza kuwagwa na wanafunzi wake pamoja na Idara kwa ujumla kwani anaenda Masomoni nchi za nje.

Sherehe zilihudhuriwa pia na wageni wengine ambao ni wadhiri wa idara, Mr. David Mrisho, Mr. ikachoi, Miss Adeline Mpuya, Mr. Manning Yusuph, Mr. Frank katabi, na wengine wengi.

Maandamo yakaanzia ATM kuelekea katika ukumbi wa M12


Maandamano yakiendelea kuelekea sehemu ya ukumbi


Kigomaaa kikiongoza maandamano.
Mgeni rasmi tayari kwa kukata utepe

Meza kuu
Mgeni rasmi akipewa maelezo kuhusu machapisho mbalimbalimba yanayofanya na maafsa uhusiano kazini

Mgeni rasmi Nkwabi Ngw'anakilala akiendelea kupata maelezo

PRO wa halmashauri ya jiji la Mwanza Alex Mlinzi pia akipata maelezo kutoka kwa Nyanja Poti

wahadhiri wakisikiliza presentation kutoka kwa Mhadhili mwenzao Gibson Gwodin

kutoka kushoto ni Lila Mandu,Adeline Mpuya ,Prudence Rwehabula wote ni wahadhili kutoka kitengo cha mahusiano ya umma



Ngonyani Christopher mwenyekiti wa SSPRA akitoa utambulisho kwa mgeni rasmi

Mhadhili David Mrisho ambaye kwa hivi sasa ndiye Mlezi wa SSPRA baada ya Albert Tibaijuka kwenda Masomoni.
Joseph Mlinzi,Afisa Uhusiano wa jiji la Mwanza naye akaelezea challenges zilizopo kwa maafsa uhusiano.
Tuzo zikatolewa kwa wanafunzi walioweza kuisaidia idara katika mambo mbalimbali
Nyanja Poti akatunikiwa cheti kwa kuweza kushiriki vizuri katika maonyesho ya 7 ya vyuo vikuu Tanzania.



Living Komu naye akatunukiwa cheti

Albert Tibaijuka naye akatunikiwa cheti.

Mhadhili Gibson Gwodin naye alitunukiwa.

head of Department ya Public Relations and advertising
Mr.Tibaijuka akaonyesha tuzo yake aliyotunukiwa na Idara kama mwanaharakati katika Idara ya Uhusiano wa umma kwa kujitoa

Wanafunzi wakapata nafasi ya kupika na Patron wao


Frank Katabi na Albert Tibaijuka

Add caption

Thursday, June 14, 2012

PR CAREER DAY

Public Relations and advertising department at SAUT is expecting to host a Public Relations career day to be held on Friday 15th June 2012 in M 12 hall at Malimbe campus from 9:00 am with a theme that says “Corporate Communication for Strategic Development”. The guest of honor will be Rev Dr. Charles Kitima the vice chancellor of SAUT.
The Public Relations and advertising head of department cordially invites all Public Relations students, PR  Practitioners, lectures, and the entire SAUT community to attend the event so as to learn and understand how PR activities are performed and their importance in facilitating strategic development of organizations and institutions. Public Relations the Heart Of an organization.  

Saturday, June 9, 2012

SASA WAWEZA KUWAPIGIA KURA WAWAKILISHI WETU KUTOKA SSPRA WAIBUKE WASHIND KUPITIA FACEBOOK

Sasa unaweza kuvote kupitia  facebook ili wawakilishi wetu kutoka SSPRA mwenyekiti Ngonyani na Mwenyekiti wa kamati ya media relations and Public Relations Bw. Poti waweze kuibuka washindi katika shindano la Excel with Grand Malt waweze kuwa mabalozi wetu.....nenda sehemu ya search ndani ya facebook,andika "GrandMalt" zinatokea page nyingi zinazoonyesha   lkn akikisha hilo neno grandmalt hauliachanishi then copy hii format uipaste kwenye wall yao ya page ya GrandMalt  INV,SAUT,NYANJA POTI,2ND YEAR na kwa upande wa Ngonyani ni ESR,SAUT,CHRISTOPHER NGONYANI,2ND YEAR.

Friday, June 8, 2012

FIKA BILA KUKOSA KATIKA KIKAO TAREHE 9/06/2012

WANACHAMA WOTE WA SSPRA MNAOMBWA KUFIKA KATIKA  KIKAO KITAKACHOFANYIKA KATIKA JENGO LA MWANJONDE A2 TAREHE 9/06/2012 IJUMAMOSI KUANZIA SA 3 NA NUSU MPAKA SAA 6 MCHANA ..TAFADHALI FIKA BILA KUKOSA.

TAFADHALI MPE TAARIFA NA MWANACHAMA MWENZIO.