|
ALIYEKUWA MLEZI WA SSPRA ALBERT TIBAIJUKA AKIWA PAMOJA NA MKUU WA IDARA Y AMAHUSIANO YA JAMII NA MATANGAZO. |
PADRI DOKTA CHARLES KITIMA AKITOA NASAA KWA WANAOHITIMU NA WALIOBAKI KWA WANACHMA WA SSPRA.
|
MH.SAMWELI SITTA AKITOA NENO KATIKA MAHAFALI WA WANACHAMA WA SSPRA |
|
MH.SAMWELI SITTA AKIWAHUTUBIA WANACHAMA WA SSPRA KATIKA UKUMBI WA ROYAL SUNSET.
|
MWEYEKITI WA SSPRA ATHANAS SING'AMBI AKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASMI |
|
PADRI DOKTA MUKAMA |
|
|
MEYA WA JIJI LA MWANZA AKITO HESHIMA YA KUMKARIBISHA MGENI RASMI MH.SITTA |
|
WANACHAMA WA SSPRA WAKIFURAHIA KOMBE LILILOPATIKANA KATIKA MASHINDANO YA FAWASCO |
|
POTI NYANJA NA WANACHAMA WENZAKE WAKIWA WAMESHIKA KOMBE LA FAWASCO ILILOCHUKULIWA NA PR3. |
|
BAADHI YA WACHEZAJI WA PR 3 WAKISHANGILIA UBINGWA WAO WALIO UPATA DHIDI YA KITIVO CHA SHERIA. |
|
KULIA NI PADRI DOKTA MUKAMA,KATIKATI NI MH.SAMWELI SITTA NA KULIA KWAKE NI PADRI CHARLES KITIMA. |
|
MH.SITTA AKIKIANDAA KUTAKA KEKI. |
|
KUTOKA KUSHOTO NI MHADHIRI MPUYA,KATIKATI NI DENIS MPAGAZE NA KULIA NI MHADHIRI OCTAVIANI MAHAMBA WAKITOA AHADI YAO KWA SSPRA. |
|
POTI NYANJA AKIPEANA MKONO NA MWENYAKITI MSTAAFU NGONYANI CHRISTOPHER |
|
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA MEDIA AND PUBLICATIONS BW..POTI NYANJA AKIKABIDHIWA ZAWADI YA UFANYAKAZI BORA KATIKA KAMATI YA MEDIA AND PUBLICATIONS |
|
Kutoka kushoto ni mlezi wa sspra mhadili albert tibaijuka na kulia ni mwenyekiti mstaafu christopher ngonyani. |
|
WANACHAMA WA SSPRA WAKIWA KATIKA TABASMU LA FURAHA. |
AMANI MBWAGA AKIWA WAPONGEZA WANACHAMA WENZAKE WANAOMAILIZA UANACHMA WA SSPRA.
|
PICHA YA PAMOJA WAKIWEMO MAAFISA UHUSIANO WA CHUO(SAUT) NA BAADHI YA VIONGOZI WALIOMALIZA MUDA WAO WA KUITUMIKIA SSPRA. |
|
KUSHOTO NI POTI NYANJA AKIWA PAMOJA NA MAAFISA UHUSIANO WA SAUT PAMOJA NA WANACHAMA WA SSPRA |
|
BAADHI YA WANACHAMA WA SSPRA WAKIWA KATIKA NYUSO ZA FURAHA UKU WAKIPATA VINYWAJI. |
ALBERT TIBAIJUKA AKITOA SOMO KWA WANACHAMA WA SSPRA WANAAOMALIZA NA WALIOBAKI,NA KUSHOTO KWAKE NI MKUU WA IDARA YA MAHUSIANO YA JAMII NA MATANGAZO
No comments:
Post a Comment