Sherehe ya siku ya PR katika idara ya mahusiano ya umma,(PR CAREER DAY) iliandaliwa na idara ya Public Relations
and Advertising kwa kushirikiana na Association ya (SSPRA).
Sherehe
hizi zilianza kwa maandamano kutokea ATM- malimbe
kuelekea M-12, ambapo ndio mahali tukio zima lilikuwa nikifanyikia.Mgeni
rasmi Mr. Nkwabi Ngwa'nakilala ambaye alikuwa MKurugenzi wa TBC na kwa
sasa ni muhadhiri wa chuo cha SAUT, alikata utepe
kuashiria kuanza kwa sherehe hizo.
Baada ya hapo wageni wote walipata fursa ya kujua baadhi ya
kazi ziizofanywa na idara ya Public Relations and Advertising kama kuandaa
publications mbalimbali ikiwemo Newsletters, bronchures, memos, backgrounder,
na nyingine nyingi.
Wageni wote walipata fursa ya kusikiliza presentations mbalimbali
kutoka kwa baadhi ya wahadhiri wa idara husika pamoja na risala kutoka kwa
Mwenyekiti wa SSPRA Mr. Ngonyani Christopher huku wanafunzi na idara husika wakistarehesha
sherehe hizo kwa kucheza Ngoma inayojulikana kwa umaarufu kama KIGOMAAAA.
Bw. Gibson Godwin ambaye ni Mhadhili katika presentation yake aliongelea suala la effective
communication huku patron wa Association
Mr. Tibaijuka aliongelea swala la kukubali changamoto katika utendaji wa kazi
na kuzitatua taratibu na Mr. Rubango aliongelea swala la critical thinking
wakati Madam Mwidima ambaye ni mkuu wa idara ya Public Relations and
Advertising alizungumzia juu ya mafanikio ya Association kwa ujumla huku
akihamasisha umoja na ushirikiano.
Mgeni rasmi Mr. Nkuabi alizungumzia kwa ujumla umuhimu wa
kozi katika mahitaji ya jamii huku akipata fursa ya kuwatunuku vyeti baadhi ya
wanafunzi waliojitoa kwa moyo kushiriki katika kazi mbalimbali ambazo ni
kuandaa mahafali ya 13 ya chuo na wengine kuwakilisha chuo katika maonyesho ya vyuo
vikuu Tanzania yaliyofanyika Diamond jubilee jijini Dar-es-salaam .
Pia sherehe hizi zilipata fursa ya kuhudhuriwa na Afisa
mahusiano wa jiji la Mwanza Mr. Joseph mlinzi ambaye aliongelea changamoto
zilizopo na kuwezakana na kuwa na umoja na wanafunzi wote wanaosomea mahusiano
ya uma na masoko katika vyuo mbalimbali.
Mbali
na hayo, patron wa Association ya SSPRA Mr. Tibaijuka
alitunikiwa tuzo kwa kujitoa kwake kwa moyo katika utendaji wa kazi
(activists),na pia aliweza kuwagwa na wanafunzi wake pamoja na Idara kwa
ujumla kwani anaenda Masomoni nchi za nje.
Sherehe zilihudhuriwa pia na wageni wengine ambao ni wadhiri
wa idara, Mr. David Mrisho, Mr. ikachoi, Miss Adeline Mpuya, Mr. Manning Yusuph,
Mr. Frank katabi, na wengine wengi.
|
Maandamo yakaanzia ATM kuelekea katika ukumbi wa M12 |
|
Maandamano yakiendelea kuelekea sehemu ya ukumbi |
|
Kigomaaa kikiongoza maandamano. |
|
Mgeni rasmi tayari kwa kukata utepe |
|
Meza kuu |
|
Mgeni rasmi akipewa maelezo kuhusu machapisho mbalimbalimba yanayofanya na maafsa uhusiano kazini |
|
Mgeni rasmi Nkwabi Ngw'anakilala akiendelea kupata maelezo |
|
PRO wa halmashauri ya jiji la Mwanza Alex Mlinzi pia akipata maelezo kutoka kwa Nyanja Poti |
|
wahadhiri wakisikiliza presentation kutoka kwa Mhadhili mwenzao Gibson Gwodin |
|
kutoka kushoto ni Lila Mandu,Adeline Mpuya ,Prudence Rwehabula wote ni wahadhili kutoka kitengo cha mahusiano ya umma |
|
|
|
|
|
Ngonyani Christopher mwenyekiti wa SSPRA akitoa utambulisho kwa mgeni rasmi |
|
Mhadhili David Mrisho ambaye kwa hivi sasa ndiye Mlezi wa SSPRA baada ya Albert Tibaijuka kwenda Masomoni. |
|
Joseph Mlinzi,Afisa Uhusiano wa jiji la Mwanza naye akaelezea challenges zilizopo kwa maafsa uhusiano. |
|
Tuzo zikatolewa kwa wanafunzi walioweza kuisaidia idara katika mambo mbalimbali |
|
Nyanja Poti akatunikiwa cheti kwa kuweza kushiriki vizuri katika maonyesho ya 7 ya vyuo vikuu Tanzania. |
|
Living Komu naye akatunukiwa cheti |
|
Albert Tibaijuka naye akatunikiwa cheti. |
|
Mhadhili Gibson Gwodin naye alitunukiwa. |
|
head of Department ya Public Relations and advertising |
|
Mr.Tibaijuka akaonyesha tuzo yake aliyotunukiwa na Idara kama mwanaharakati katika Idara ya Uhusiano wa umma kwa kujitoa |
|
Wanafunzi wakapata nafasi ya kupika na Patron wao |
|
Frank Katabi na Albert Tibaijuka |
|
Add caption |
|
Nyanja Na Mwalimu Tibaijuka. |
|
wau waliojitokeza katika sherehe hii |
No comments:
Post a Comment