Wanachama wote wa SSPRA mnaombwa kufika katika kikao cha Mwisho kabisa cha mwaka kitakachofanyika tarehe 2/6/2012 katika darasa la A2-Mwanjonde kuanzia saa 3:00 Asubuhi,Fika bila kukosa mara upatapo taarifa hii basi mtaarifu na Mwanachama mwenzako ili asiweze kupitwa na Kikao hiki Muhimu kabisa cha Mwisho wa Mwaka.
Agenda
- Kuwasilisha Mipango mkakati kutoka kila Kamati kwa mwaka 2012/2013.
- Utambulisho wa Wanachama wapya.
- Kugawa risiti kwa wale waliolipia fomu za kujiunga na SSPRA.
- Kuwasilisha report ya Mwaka mzima na pia kuonyesha malengo ya mwaka 2012/2013.
- Na mengineyo
No comments:
Post a Comment