SSPRA

JOIN SSPRA TO ACQUIRE PUBLIC RELATIONS SKILLS

Wednesday, May 29, 2013

YAFUATAYO NI MATUKIO YA MAHAFARI YA KUWAAGA WANACHAMA WA SSPRA YALIYOFANYIKA 26/5/2013 KATIKA UKUMBI WA ROYAL SUNSET BEACH_LUCHELELE



MH.SAMWELI SITTA AKIWA KATIKA MEZA KUU NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CH MTAKATIFU AUGUSTIONO WAKIWEMO ALIYEKUWA MAKAMU WA CHUO PADRI CHARLES KITIMA AMBAYE KAMALIZA UONGOZI WAKE.
KUSHOTO  NI MH.SAMWELI SITTA NA KULIA  KWAKE NI MKUU WA IDARA YA MAHUISIANO YA JAMII NA MATANGAZO MHADHILI CEZALIA MWIDIMA.
MH.SAMWELI SITTA AKITOA BARAKA YA KUKIOMBEA CHAKULA.
MH.SITTA AKITETA JAMBO NA PADRI CHARLES KITIMA.

MEZA KUU WAKITAZAMA KEKI ILIYOANDALIWA NA SSPRA KWA MGENI RASMI

MEZA KUU IKIWA INA MSHANGAA SEBA AKIWA ANAIMBA UKU AKIPIGA KINANDA VYOE KWA PAMOJA.
ALIYEKUWA MLEZI WA SSPRA ALBERT TIBAIJUKA AKIWA PAMOJA NA MKUU WA IDARA Y AMAHUSIANO YA JAMII NA MATANGAZO.

                        PADRI DOKTA CHARLES KITIMA AKITOA NASAA KWA WANAOHITIMU NA WALIOBAKI KWA WANACHMA WA SSPRA.

MH.SAMWELI SITTA AKITOA NENO KATIKA MAHAFALI WA WANACHAMA WA SSPRA

MH.SAMWELI SITTA AKIWAHUTUBIA WANACHAMA WA SSPRA KATIKA UKUMBI WA ROYAL SUNSET.
MWEYEKITI WA SSPRA ATHANAS SING'AMBI AKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASMI
PADRI DOKTA MUKAMA 
MEYA WA JIJI LA MWANZA AKITO HESHIMA YA KUMKARIBISHA MGENI RASMI MH.SITTA
WANACHAMA WA SSPRA WAKIFURAHIA KOMBE LILILOPATIKANA KATIKA MASHINDANO YA FAWASCO

POTI NYANJA NA WANACHAMA  WENZAKE WAKIWA WAMESHIKA KOMBE LA FAWASCO ILILOCHUKULIWA NA PR3.

BAADHI YA WACHEZAJI WA PR 3 WAKISHANGILIA UBINGWA WAO WALIO UPATA DHIDI YA KITIVO CHA SHERIA.

KULIA NI PADRI DOKTA MUKAMA,KATIKATI NI MH.SAMWELI SITTA NA KULIA KWAKE NI PADRI CHARLES KITIMA.

MH.SITTA AKIKIANDAA KUTAKA KEKI.

KUTOKA KUSHOTO NI MHADHIRI MPUYA,KATIKATI NI DENIS MPAGAZE NA KULIA NI MHADHIRI OCTAVIANI MAHAMBA WAKITOA AHADI YAO KWA SSPRA.




POTI NYANJA AKIPEANA MKONO NA MWENYAKITI MSTAAFU NGONYANI CHRISTOPHER

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA MEDIA AND PUBLICATIONS BW..POTI NYANJA AKIKABIDHIWA ZAWADI YA UFANYAKAZI BORA KATIKA KAMATI YA MEDIA AND  PUBLICATIONS
Kutoka kushoto ni mlezi wa sspra mhadili albert tibaijuka na kulia ni mwenyekiti mstaafu christopher ngonyani.
WANACHAMA WA SSPRA WAKIWA KATIKA TABASMU LA FURAHA.
   AMANI MBWAGA AKIWA WAPONGEZA WANACHAMA WENZAKE WANAOMAILIZA UANACHMA WA SSPRA.
PICHA YA PAMOJA WAKIWEMO MAAFISA UHUSIANO WA CHUO(SAUT) NA BAADHI YA VIONGOZI WALIOMALIZA MUDA WAO WA KUITUMIKIA SSPRA.
KUSHOTO NI POTI NYANJA AKIWA PAMOJA NA MAAFISA UHUSIANO WA SAUT PAMOJA NA WANACHAMA WA SSPRA

BAADHI YA WANACHAMA WA SSPRA WAKIWA KATIKA NYUSO ZA FURAHA UKU WAKIPATA VINYWAJI.


ALBERT TIBAIJUKA AKITOA SOMO KWA WANACHAMA WA SSPRA WANAAOMALIZA NA WALIOBAKI,NA KUSHOTO KWAKE NI MKUU WA IDARA YA MAHUSIANO YA JAMII NA MATANGAZO



MWENYEKITI WA SSPRA AKIMKABIDHI SITTA RISALA
WANACHAMA WA SSPRA KATIKATI NI EDES MAPUNDA AKIWA KATIKA POZI.


KUSHOTO NI AIDAN KAIJANANTE NA KULIA NI MLEZI WA SSPRA DAVID MRISHO




MLEZI WA SSPRA ALBERT TIBAIJUKA NA MKUU WA IDARA YA  IDARA YA MAHUSIANO YA JAMII NA MATANGAZO.CEZELIA MWIDIMA.

MLEZI WA SSPRA DAVID MRISHO AKIMKARIBISHA MKUU WA IDARA YA MAHUSIANO YA JAMII NA MATANGAZO KUSEMA NENO KWA WAHITIMU.
PAUL MAKONDA ALIKUWA RAIS WA TAHILSO
CHRISTOPHER NGONYANI AKIWAHUSIA WANACHAMA WA SSPRA WANAOBAKI.

RAIS WA CHUO AMBAYE PIA NI MWANACHAMA WA SSPRA MH.DOVAKMWENE MSCHESHI AKICHEZA MUZIKI.
MH.SAMWELI SITTA AKISHANGLIA KEKI 

HAWA NI BAADHI YA WACHEZAJI WA PR3 WAILIO TWAA UBINGWA WA FAWASCO.







Sunday, May 26, 2013

TUNAWATAKIA WACHEZAJI WETU WA PR 3 MCHEZO MWEMA NA WAIBUKE NA USHINDI LEO

WANACHAMA WOTE WA SSPRA WANAWATAKIA WACHEZAJI WOTE WA MWAKA WA TATU KATIKA KITIVO CHA MAHUSIANO YA UMMA NA MASOKO (PR 3) MCHEZO MWEMA NA WAIBUKE NA USHINDI MNONO LEO!
MUNGU AWASAIDIE MSHINDE LEO,HIVYO BASI PR WOTE TOKA WA MWAKA WA KWANZA HADI WA TATU MNAOMBWA KUHUDHURIA UWANJA WA RAILA ODINGA LEO ILI KUWEZA KUWASHANGILIA WACHEZAJI WETU NA KUWAPA MOYO WA USHINDI!

Saturday, May 25, 2013

USAFIRI WA KWENDA ROYAL SUNSET BEACH UTAKUWA KAMA IFUATAVYO:

Usafiri siku ya kesho: wana kamati ya graduation wataondoka kesho saa 5:00 pale ATM. watakaopenda kwenda na kurudi usafiri upo na pia kama utapenda kubaki kule moja kwa moja pia kipo chumba kwa ajili yenu, hii ni kwa wanakamati tu.
     WAHITIMU NA WASIO WAHITIMU
  Wahitimu na wasio wahitimu wataondoka na gari la kwanza  litaondoka saa moja kamili za jioni(7.00) na la pili  litaondoka saa moja na robo jioni(7.15).
 NB. wengi watatamani kwenda na gari la pili kwa hiyo kuna uwezekano wa gari la pili kujaa na wengine kubaki hivyo unashauriwa kwenda na gari la kwanza ili kuepuka usumbufu utakao jitokeza baadaye

       KUHUSU SUALA LA MAVAZI 
Wanachama wote wa SSPRA wanaombwa kuheshimu taratibu zote ambazo zimewekwa na zimeazimiwa na chama ili kulinda heshima na taswira ya chama kwa ujumla kwa kuvaa mavazi ambayo yanastahili kuvaliwa mbele ya viongozi va ngzai za juu'
      mavazi yafuatavyo hayastahili kuvaliwa ndani ya ukumbi mbele ya mgeni rasmi

1.Pensi kwa wavulana
2.sketi fupi kwa wasichana
3.suruali kwa wasichana Kwa yeyote atakaye kiuka taratibu hizi hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
  TUNAWATAKIA SHEREHE NJEMA YA KUWAAGA WANACHAMA WENZETU WA MWAKA WA TATU.

Monday, May 20, 2013

KESHO NI SIKU YA MWISHO YA KUWASILISHA MICHANGO YOTE YA UWANACHAMA NA MAHAFALI YA KUWAAGA MWAKA WA TATU.

Mwenyekiti wa sspra akishirikiana  na kamati ya mahafali ya kuwaaga mwaka wa tatu inawapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kesho ni siku ya mwisho kwa wanachama kuwaslilisha michango yao yote ya mahafali.

  Pia wanachama wote wanakubushwa uwasilisha michangoyao  yote ya kila mwezi (monthly contributions) kwa viongozi wa sspra.

IFUATAO NI MICHANGANUO YA MICHANGO AMBAYO KESHO WANACHAMA WANATAKIWA KUWASILISHA.
1.Wahitimu 25000/=
2.Mwaka wa kwanza na wa pili 20000/=
3.Mwaka wa tatu ambao wanataka vyeti tu ni 10000/=
  Michango yote ilipwe kwa kiongozi yeyote wa sspra na mwisho wa kuwasilisha michango ya uwanachama na mahafali ni kesho saa 12.00 za mchana.

Sunday, May 19, 2013

WANACHAMA WA SSPRA WAPENDEKEZA 26/05/2013 KUWA SIKU RASMI YA MAHAFALI YA KUWAAGA MWAKA WA TATU

Katika kikao kilichofanyika jumamosi cha wanachama wote mwanjonde (B3) wanachama hao wote kwa pamoja wameazimia kufanya mahafali ya kuwaaga mwaka wa mwisho kama ilivyo andikwa katika kichwa cha habari hapo juu.

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa sspra Athanas Sing'ambi amethibitisha hilo na kuwataka wanachama wote kushirikiana kwa pamoja kwa wale wa mwaka wa kwanza  hadi wa mwisho ili kufanikisha tukio hilo la kuwaaga wanachama wenzetu wa mwaka wa mwisho.

      Sherehe hiyo itafanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa ROYAL SUNSET BEACH iliyoko katika kijiji cha luchelele hivyo basi ili kufanikisha mahafali hayo wanachama wote mnaombwa kuendelea kutoa michango yenu kwa viongozi ambao mmekwisha elekezwa  kwenda kutoa hiyo michango ya mafahali.

Mwenyekiti pia amewataka wanachama wote hasa wale wanaobaki kuendelea kufika katika vikao vyote vitakao kuwa vikiitishwa na wale ambao watakuwa hawaji katika vikao hivyo basi hatua kali zitachukukiwa na kamati husika, kwa wale ambao watakukuwa wanashindwa kuja katika vikao hivyo basi wanaombwa wawe wanatoa taarifa kwa viongozi wapya wa sspa ili kuepuka usumbufu kwa hapo baadaye.

SSPRA INAWATAKIA WANACHAMA WOTE MAANDALIZI MEMA YA MAHAFALI YA KUWAAGA MWAKA WA TATU NA KAMATI HUSIKA YA MAHAFALI IFANYE JITIHADA ZOTE ILI KUFANIKISHA MALENGO YALIYO AZIMIWA NA WANACHAMA WOTE KWA PAMOJA!


Monday, May 6, 2013

SSPRA YAPATA VIONGOZI WAPYA.

SSPRA imefanya uchaguzi wa viongozi wapya watakaoiendeleza SSPRA mara baada ya viongozi waliopo madarakani kumaliza muda wao wa uongozi na kuwapa fulsa wanachama wengine pia kukiendeleza chama. 

Nafasi zilizokuwa zikiwaniwa zilikuwa ni 8 na zote zimepata viongozi wake watakao endeleza pale uongozi uliokuwa chini ya Mwenyekiti Christopher Ngonyani umeishia kwa maendeleo ya chama hiki cha wanafunzi wanaosomea shahada ya mahusiano ya jamii na masoko.Majina ya viongozi wapya ndio haya hapa chini.

MWENYEKITI
Sing'ambi Athanas ndiye Mwenyekiti alipata kura 72 kati ya jumla ya 86, kura 14 zilienda kwa Andrew Geofrey.

MAKAMU MWENYEKITI
Makura Ndege ndiye M/msaidizi alipata kura 59 kati ya jumla ya kura 84 na kura 25 zilienda kwa Chenga Norbert

KATIBU MKUU
Mbwaga Aman E. Ndiye katibu mkuu wa SSPRA alipata kura 66 kati ya kura 88 na 22 zilienda kwa Haule Adam 

KATIBU MSAIDIZI
FURA EPHRAIM LODRICH ndiye katibu msaidizi alipata kura 44 kati ya kura 85, kura 41 zilienda kwa Joseph Michael.

AFISA UHUSIANO (PRO)
Athanas Masota M ndiye afisa uhusiano wa SSPRA alipata kura 75 kati ya kura 85 na kuweza kumshinda Emily Alex aliyepata kura 10 

AFISA UHUSIANO MSAIDIZI
Jesse Edwin ndiye afisa uhusiano msaidizi aliyeshinda kwa kura 69 kati ya kura 88, kura 19 zikaenda kwa Kalumbilo John.

MHASIBU MSAIDIZI
BAHATI WILSON ndiye mhasibu msaidizi ambaye alipigiwa kura ya ndio au hapana kwa kuwa alikuwa peke yake katika nafasi hiyo na kuweza kupigiwa kura 82 za NDIO na kura 2 za HAPANA.   

MHASIBU MKUU 
Kyando Zawadi S. ndiye Mhasibu mkuu aliyemshinda Munuo Hosiana.
viongozi wapya wa SSPRA katika picha ya pamoja

Mwenyekiti mpya wa SSPRA BW. Athanas Sing'ambi

Aliyekuwa mlezi wa SSPRA MWL.Albert Tibaijuka akitoa busara zake kwa wanachama

viongozi wapya wa sspra katika picha ya pamoja

Baada ya uchaguzi wanachama wakapata picha pamoja na mlezi msaidizi Bw.Frank Katabi

Hosiana Munuo akiomba kura kutoka kwa wanachama katika nafasi ya Mhasibu.

Emil Alex akiomba kura kutoka kwa wanachama katika nafasi ya Afisa Uhusiano



Athanas Masota akiomba kura kutoka kwa wanachama katika nafasi ya Afisa Uhusiano

Joseph Michael akiomba kura kutoka kwa wanachama katika nafasi ya katibu  msaidizi

Lodrich Fura akiomba kura kutoka kwa wanachama katika nafasi ya katibu msaidizi


Aman Mbwaga Katibu mpya wa SSPRA wakati wa kuomba kura za wanachama

kyando zawadi mtunza fedha mkuu wa SSPRA

Bahati Wilson Mweka hazina Msaidizi wa SSPRA wakati wa kuomba ridhaa ya wanachama kupata nafasi hiyo

Jesse Edwin akiomba kura kutoka kwa wanachama katika nafasi ya Afisa Uhusiano msaidizi

Kalumbilo John akiomba kura kutoka kwa wanachama katika nafasi ya Afisa Uhusiano msaidizi


Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Bw.Odilo John akitangaza matokeo ya uchaguzi.